Kocha Mokwena aamua kwenda Black Poison FC – Julai 5, 2024

Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena amesema kuwa baada kupewa baada ya kusitisha mkataba na klabu hiyo, mpango wake sasa ni kwenda kuifundisha timu ya Black Poison FC.

Ikumbukwe kuwa, Black Poison FC ni timu inayomilikiwa na Rhulani Mokwena mwenyewe nchini Afrika Kusini.

“Ninakwenda kuifundisha Black Poison FC katika wiki chache zijazo, ni matumaini yangu nitakwenda kufufua ari yangu na shauku ya soka na ufundishaji kwa sababu nimeipoteza kwa kiwango fulani naweza kusema. Labda kwenda Black Poison FC itasaidia kwa namna fulani,” amesema Rhulani Mokwena.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *