"Ruvu Shooting bingwa mwaka huu" – Jeuri ya Masau Bwire baada ya kuifunga Yanga (VPL - 28/8/2019)

Baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Yanga na Ruvu Shooting Afisa habari wa klabu ya Ruvu Shooting,Masau Bwire ametamba juu ya matokeo...

Yanga Yaanza Ligi Kwa Kupapaswa Na Ruvu Shooting

Timu ya soka ya Yanga imeianza vibaya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kwa kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting kweny...

RATIBA YA SOKA JUMANNE AUGUST 27, 2019.

Tanzania - Vodacom Premier league 16:00 KMC FC vs Azam FC Champions League - Qualification 22:00 FC Krasnodar vs Olympiacos 22:00 FK ...

Simba Wafuata Nyayo Za KMC Watupwa Nje Michuano Ya Klabu Bingwa Afrika..

RASMI leo Simba imetolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye mchezo wa marudio uliochezwa uwanja wa Taifa. Simba inatole...

Simba Dimbani Leo KUwavaa UD Songo

Mabingwa wa Tanzania Simba sc leo watakua dimbani kuitetea tiketi yao ya kuendelea kusonga katika hatua inayofuata ya michuano ya Klabu B...

Yanga Uso Kwa Uso Na Lwandamina CAF Champions League

Mara baada ya Yanga kuwaondosha Township Rollers katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika sasa Yanga itakutana na Zesco United ya Zambia inay...