Yanga Yaondoka Na 21 Kuelekea Botswana

Kikosi cha yanga kilichoondoka Dar es Salaam kuelekea Botswana kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers.
1. Metacha Mnata
2. Paulo Godffrey
3. Kelvin Yondani
4. Muharami Issa
5. Ally Mtoni
6. Lamine Moro
7. Papy Tshishimbi
8. Mapinduzi Balama
9. Mohamed Issa
10. Ramadhani Kabwili
11. Sydney Khoetage
12. Rafael Daudi
13. Juma Balinya
14. Patrick Sibomana
15. Ally Ally
16. Jafari Mohamed
17.Feisal Salum
19. Issa Brigimana
20. Deusi Kaseke
21. Mrisho Ngasa
MaoniMaoni Yako