VIDEO: Kuwa makini Na Ukisemacho Ukiwa unalia Msibani.. Angalia VideoMara nyingi tukiwa tumeondokewa na wapendwa wetu hujikuta tunasema mambo mengi sana bila kujua, labda kwakuwa tunakuwa katika hisia za uchungu mkubwa. Angalia video hii na ujifunze kitu.