Monday, August 5, 2019

Tanasha Atamani Mwanawe Afanane Na Baba’ke

Tags

Tanasha Atamani Mwanawe Afanane Na Baba’ke


MWANDANI wa mwanamuziki mkali wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ametoa la moyoni kuwa anatamani mwanaye atakayejifungua afanane na baba’ke. Tanasha ameliambia Gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa anamsubiri mwanawe huyo kwa hamu kubwa kwani amebakiza mwezi mmoja tu, lakini anaona kama mwaka lakini Mungu ni mwema atamvusha salama.


“Natamani sana kumuona mwanangu mtarajiwa afanane na baba yake ili siku nikiwa mbali na Nasibu (Mondi) niwe namuangalia yeye tu. Wakati mwingine naona mwezi mmoja ni mbali sana. Mungu