Simba kukutana na Wanahabari leo..Uongozi wa klabu ya Simba Tanzania leo utakua na mkutano na waandishi wa habari mkutano unaotarajiwa kufanyika katika Hotel ya Serena.

Mkutano huo unaotarajiwa kuanza majira ya saa 6 mchana  utafanyika katika Ukumbi wa Kivukoni Four hivyo wakawakaribisha waandishi wa habari na pia watakua Mubashara kupitia Youtube channel
MaoniMaoni Yako