Wednesday, August 7, 2019

SIMBA Day Noma.... Uwanja wa Taifa umejaa, Mo Dewji aagiza zifungwe TV nje ya uwanja mashabiki waendelee kuburudika

Tags


Katika kuadhimisha kilele cha Simba Day Jana, Mashabiki wa klabu ya Simba wamefanikiwa kujaza uwanja wa Taifa. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mo Dewji.


Mo Dewji akiongea na waandishi wa habari kwenye uwanja huo, Amesema kuwa uwanja umejaa na ameshaagiza zifungwe TV nje ya uwanja huo ili mashabiki waliokosa nafasi ya kuingia watazame tukio hilo Live.