Said Khamis Nahodha Mpya Mbao Fc.

Klabu ya wabishi ya Mbao fc kutoka Jijini Mwanza imemtangaza Said Khamis kua nahodha wake katika msimu huu wa 2019/2020.

 Katika hatua nyingine klabu hiyo imemtangaza Babilas Chitembe kuwa nahodha msadizi.

Aidha klabu hiyo imewatakia majumu mema.

 -Kila la kheri katika majukumu yenu makubwa kabisa katika kikosi chetu nje na ndani ya uwanja.
-A good leader leads from behind

MaoniMaoni Yako