Ribery Atimukia Fiorentina


Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa klabu ya Bayern Munich, Frank Ribery , amejiunga na klabu ya Fiorentina, kwa mkataba wa miaka 2.
.
.
Nyota huyo wa kimataifa wa Ufaransa, alitangaza kuondoka katika klabu hiyo ya Bayern Munich, baada ya kuichezea klabu ya kwa muda wa miaka 12.
MaoniMaoni Yako