Mwanamke Staha na Lugha Nzuri Ndio Silaha


Hata Uwe Mwanamke mzuri kiasi,mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume, na una hela na kazi nzuri sana,Kama una KIBURI, LUGHA MBOVU, MAJIBU MABAYA.Hakuna Mwanaume atakaa na wewe

Wakati mwingine mnaachwa mnajiuliza,'Amewezaje kuniacha na mi ni mzuri hivi', Jifanyie Internal Scanning kuhusu TONE yako unapoongea na Mwanaume, Mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja.

Yaani wewe Afande KIBESI, na Mmeo Koplo KIBESI, Huo sio Uhusiano ila ni kikosi cha Askari wa Kiwango Security.

A woman should be tender.

Soft-tonned.

Alistener.

Huwa mnazidiwa vitu vidogo tu, we unajifanya kidume, wakati MCHEPUKO unaongelea puani hata kama mwanaume ndo kakosea, Shoga usimtafute mchawi wa ndoa/yako mahusiano yako n wewe mwenyewe na kibesi chako, wataka jitia jabali haki sawa, kama haki sawa KOJOA UMESIMAMA NA USIJIKOJOLEE!
MaoniMaoni Yako