Mchumba wa Rayvanny ( Fahyma) Asema anatumia Million 2 kupiga Picha tu

Mchumba wa Rayvanny ( Fahyma) Asema yeye anapenda picha kuliko kitu chochote, hawezi kukaa wiki bila kupiga picha hata moja...Amedai yeye kila akifanya photo shoot huwa anatumia shilingi milion 2, Ambazo hizo hela analipia hotel atakayopigia picha na mavazi pamoja na kumlipa mpiga picha
MaoniMaoni Yako