Masau Bwire awagomea Yanga Na Bodi ya Ligi


.
"Sisi hatuna shida na Yanga kuomba mechi yetu dhidi yao isogezwe mbele, lakini kwa afya ya mpira wa Tanzania si busara na si sahihi kuanza kuchakachua ratiba ya ligi mapema namna hii.
.
" Kama Yanga wanacheza Botswana tarehe 24, kwa nini wasirejee Dar es Salaam kesho yake na tarehe 28 tucheze kama kawaida?." - Masau Bwire (Msemaji Ruvu Shooting)
MaoniMaoni Yako