Maisha yanaenda kasi sana


Barcelona na Bayern Munich wamefikia makubaliano ya uhamisho wa mbrazili Coutinho kwa mkopo wa msimu mzima wa 2019/20

Bayern Munich watalipa kiasi cha £8.5m na mshahara wa Coutinho
.
Pia Barca & Munich wamefikia makubaliano katika mkopo huo Bayern wana opition ya kumsajili moja kwa moja kwa kiasi cha £120m
.
Coutinho atavaa jezi namba 10 iliyokuwa ikivaliwa na mkogwe raia wa uholanzi Arjen Robben ambaye aliachana na mabigwa hao wa Ujerumani msimu uliomalizika
.

Sasa tusubiri kuona cheche za Mbrazil huyo kwenye ligi ya Bundesliga.
MaoniMaoni Yako