KMC Yapata Mdhamini Mkuu

Klabu ya KMC FC imepata mdhamini mkuu ambae ni M-bet kwa udhamini wa bilioni 1 kwa miaka mitano .
.
"Kwanini M-bet imechukua KMC na sio timu yoyote, kwanza jinsi ambavyo KMC inajiongoza
Uongonzi wa KMC mipango ya KMC hakika wanamipango ya muda mfupi na mipango ya muda mrefu, ni mipango ambayo kikaratasi inasomeka na inaweza ikafikika":- Alen Mushi afisa masoko wa M-bet

Aidha klabu hiyo imwfanya uzinduzi wa jezi za msimu mpya wa mwaka 2019/20.
MaoniMaoni Yako