CHUKUA HII YA MTAALAMU HUYU.


.
Kocha Mkuu Wa Wolves "Nuno Espirito Santo" Man U huyu bwana hawawezi kumsahau Kabisa.
.
Man U kwanini hawawezi kumsahau huyu bwana...? amekuwa akiwanyima ushindi kila wakutanapo.
.
Dimba la Wolves linaitwa Molineux umekuwa mgumu kabisa kwa Timu kubwa , timu kubwa zimekuwa zikipata shida sana kutoka salama kwenye hili dimba ,ukitoka salama  ni sare tu itakuhusu lasivyo nikipigo tenah kipigo kizito twende sawa 👇👇👇
.
Wolves 1-1 Man City.
Wolves 1-1 Man U.
Wolves 1-1 Arsenal.
Wolves 2-1 Chelsea.
Wolves 3-1 Spurs.
Wolves 2-1 Liverpool.
Wolves 1-1 Chelsea.
Wolves 2-1 Man U.
Wolves 2-1 Man U.
Wolves 3-1 Arsenal.
Wolves 1-1 Man U.
.
MaoniMaoni Yako