Bocco Hatarini Kuwakosa UD Songo

Daktari wa klabu ya Simba, Yassin Gembe amesema kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo John Bocco anaweza akakosa mchezo wa mkondo wa pili wa raundi ya awali ya klabu bingwa Afrika dhidi ya UD do Songo ya Msumbiji mchezo ambao utapigwa Jumapili ya August 25. 

  Bocco bado anasumbuliwa na majeraha ya goti aliyoyapata kwenye mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC.
MaoniMaoni Yako