Barcelona wamechukizwa sana na Dembele

Tokeo la picha la dembele

Daktari alimuita Dembele siku ya Jumamosi kwenda kufanya vipimo . Watu wote waliokuwa wanahusika na zoezi hilo walishangazwa baada ya Dembele kutowasili .


Jopo la Madaktari, Wakurugenzi na wachezaji wenzake wameshangazwa na kitendo cha mchezaji kukosa umakini kwa jambo muhimu kama hilo
MaoniMaoni Yako