As Roma Kumchukua Zappacosta


Miamba Ya soka kutoka Italka Klabu ya AS Roma imefikia makubaliano na klabu ya Chelsea juu ya kumsajili beki Davide Zappacosta kwa mkopo wa mwaka mmoja.

Beki huyo muda wowote kuanza Leo atatua nchini Italia kwa ajili ya vipimo kabla ya kukamilisha uhamisho huo.

Zapacosta ameichezea Chelsea mechi 58 na kufunga mabao mawili tu.
MaoniMaoni Yako