Anaweza kuondoka OT

Tokeo la picha la alex sanchez

Ole Gunnar Solskjaer amekiri kwamba Alexis Sanchez huenda akaondoka Manchester United kabla ya dirisha la usajili barani Ulaya kufungwa Septemba 2.

"Bado wiki kadhaa zimebaki za dirisha la usajili na kuna nafasi ya yeye kuondoka ..kuna timu zimeonesha nia ya kumtaka Alexis , kwahiyo tutaona nini kitatokea. Sina la kuwaambia zaidi ya hapo ."
MaoniMaoni Yako