Ajibu Arejea Rasimi Dimbani Aanza Mazoezi Na Wenzake

Image may contain: 6 people, people playing sports and outdoor
Kiungo mwenye makorokoro mengi miguuni mwake Ibrahim Ajibu leo ameanza mazoezi na wenzake kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo.

Ajibu ambaye tangu aliposajiliwa na Simba akitokea Yanga hajaicheza mechi yoyote ya kimashindano kutokana na kuwa majeruhi aliyoumia akiwa na kikosi cha Taifa Stars wakati wakijiandaa mechi dhidi ya Kenya.

Huenda akaonekana kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa kwenye dimba la taifa..
MaoniMaoni Yako