Saturday, January 26, 2019

Tanasha awacharukia wanaomponda boyfriend wake (Diamond Platnumz )

Tags

Tanasha awacharukia wanaomponda boyfriend wake (Diamond Platnumz )

Tanasha ambaye ni mpenzi wa Diamond kwa sasa ameshindwa kujizuia na kuamua kuwatolea maneno machafu timu za wapenzi wa zamani wa msanii huyo.

Hata hivyo na yeye ameamua kupambana nao kama kawaida na ilivyokuwa kwa wale waliopita kwa Diamond.

Tanasha jana alikuwa live katika ukurasa wake wa Instagram akisoma comment za mashabiki wake akiwa katika kipindi chake katika redio anayofanyia kazi ya Nairobi nchini Kenya.

Baada ya kuanza kusoma comment ndipo mashabiki wakaanza kumponda mpenzi wake huyo na yeye hakukaa kimya akasema "Dont talk shit about my Men."