Mastaa Watano Wanaovaa Nywele Za Gharama Bongo


Aristoste ambaye jina lake limekuwa maarufu mtandaoni kutokana na style yake ya kuwauzia nywele watu maarufu, ameitaja list ya mastaa wanaovaa nywele za gharama Bongo ambapo kati ya hao amemtaja Irene Uwoya kuwa anaongoza kwa kuvaa nywele mara moja na kutokuirudia tena.
Bonyeza PLAY hapa chini kuijua list ya mastaa hao watano. 
MaoniMaoni Yako