Mke wa Mzee Majuto Agoma Kutokea Katika 40 ya Mzee Majuto

Mke wa Mzee Majuto Agoma Kutokea Katika 40 ya Mzee Majuto
Mke wa marehemu mzee Majuto hajafika hapa na kwenye kufuatili wakadai alisema kuwa hana nauli ya kutoka Dar kuja huku Tanga ikabidi tumtafute mtoto na jirani ambao walifanya mawasiliano ya LIVE na kushindwa kuongea chochote.

Kwa taarifa zinazodaiwa kuwa tatizo ni nauli na alitegemewa kupewa gari na serikali ili kupelekwa tanga kwenda kumalizia msiba wa marehemu mume wake

MaoniMaoni Yako