Masanja Mkandamizaji Aingia Katika Bifu Zito na Kanye West

Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji amuwakia Rapper Kanye West hii ni baada ya kuandika ‘Sisi ni Miungu’ kupitia ukurasa wake wa twitter na wengi kutafsiri kuwa anajiita Mungu kitu ambacho sio kizuri.

Masanja Mkandamizaji ambaye pia ni mchungaji amechukulia kitu hicho kuwa ni dharau na kusema mtu akishapata hela anasahau kama kuna Mungu na badala yake anajiita yeye Mungu.

Kupitia ukurasa wa twitter wa Masanja ameandika mawazo yake kuhusiana na kile alichokiandika Kanye West na kusema “Acha Kuvuta bangi, huwa una umama sana
NAFASI ZA AJIRA LEO, BOFYA LINKI HIZI:➤➤

MaoniMaoni Yako