Sunday, September 16, 2018

Kama Unajiamini Konyagi, Zanzi, Amarula, Supu ya Pweza, Vidole vya nini?

Tags

Kama Unajiamini Konyagi, Zanzi, Amarula, Supu ya Pweza, Vidole vya nini?
Miaka inaenda na dunia inabadilika nikipiga stori na wabibi na watu walio nizidi umri naamini kweli wao walifaidi mapenzi zaidi ya kizazi hichi maana enzi zao kulikua hakuna utandawazi kama sasa pia magojwa hatari kama sasa wao walifaidi aisee pia wanaume walikua wanakula vyakula vya asili.

Vilivyopelekea kua na nguvu za kiume haswa siyo vijana wa leo wameishia vyakula vya kusindika na kutwa kwenye mitandao kuwatch porno na pia siyo kwamba zamani punyeto haikuepo ila walikua wanapiga kubalance ila vijana wa leo kutwa wanapiga punyeto mara 4 hii hatari sana imepelekea mtu akipata dem anakimbilia bar kushitua konyagi, zanzi, ili aboost na mkiwa faragha ni vidole tuu vinatawala muda mwingi nani kakuambia.
Job Opportunities - Click here👇 and Apply Now

Nafasi za Kazi zilizotangazwa Serikalini na Mashirika mbalimbali leo Jumapili 16 September 2018


Mwanamke anahitaji vidole kwani yeye hana vidole? unasokomeza huko vidole tena vichafu unaleta bacteria bhana... kidole kina utaalam wake si kukisokomezea humo mavidole.. poleni sana kula vyakula vya asili, fanya mazoezi, ndiyo siri kumridhisha mwanamke ni mchezo mdogo tuu si lazima konyagi zanzi, bia harufu inaleta kero sana hamjui tuu