Huu ndiyo Muonekano mpya wa Ommy Dimpoz Baada ya Kupata Nafuu

Msanii wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amekuwa akipatiwa matibabu Afrika Kusini.


Mara baada ya kufanyiwa upasuaji wa koo. Hizi ni picha za mwanzo kabisa za muimbaji huyo tangu alivyopata nafuu.

Ommy Dimpoz