Hizi ndizo ndinga 10 zilizoshaini zaidi kwenye MOVIE ya FAST & FURIOUS 8 – (PICHA)

01. Rally Fighter.
Gari hii imeendeshwa na Letty Ortiz (Michelle Rodriguez) 

02. Orange Lamborghini
Kwenye movie, gari hii imeendeshwa na Roman (Tyrese Gibson)

03. Bentley Continental.
Imeendeshwa na  Dom (Vin Diesel).
 04. 1966 Chevrolet Corvette Stingray 
Imeendeshwa na Letty Ortiz (Michelle Rodriguez)


05. Mercedes AMG GT.
Mmiliki wa hii gari alikuwa ni Tej Parker (Ludacris)
 06. Dodge Ice Charger.
Na hii nayo iliendeshwa na Dom (Vin Diesel).


07. Ripsaw 
Kwa mara nyingine tena Tej Parker (Ludacris) alionekana ndani ya hii mashine.

08. Ice Ram
Mashine ya kibabe kwa ‘Hobbs’ mtu wa kibabe (The Rock)
 09. Subaru BR-Z


10. Jaguar F-TYPE COUPE:
Hii imeendeshwa na Deckard Shaw (Jason Statham)