Gigy Money Afunguka Baada ya Video Kusambaa Wakipapasana Gizani na Msani Lavalava

Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka kuhusu ukaribu wake na Lava Lava kutokea WCB.

Hii ni baada ya hivi karibuni kuwepo kwa video inayowaonyesha wawili hao wakishikana sehemu ambayo ilkuwa na giza kiasi. Hata hivyo Gigy Money ameeleza kuwa hapo walikuwa club na hakuna chochote kati yao.

"Mshikaji tu kwani kulambana ni nini, ni club pale na inategemea na mlivyozoeana," amesema Gigy Money.

Pia ameongeza kuwa, 'Sina mume wala sina mpango wa kuolewa, am single, i mean i have no boy friend'


Nafasi za kazi mpya zilizotangazwa leo Jumatano 12 September 2018- Apply Now