Saturday, September 8, 2018

Diamond Athibitisha Mpango wa Kumsign Msanii Mpya Kuziba Pengo la Rich Mavoko

Tags

#EXCLUSIVE: Staa wa Bongo Fleva, @diamondplatnumz amethibitisha kuwa kuna mpango wa kutangaza msanii mpya atakayesaini na lebo ya muizki ya @wcb_wasafi.

Katika kutoka sababu za hatua ya lebo yao kufanya hivyo, Diamond alisema kuwa ni katika kutoa nafasi nyingine kwa vijana ili waishi ndoto zao hasa kupitia sanaa ya muziki.
➤:AJIRA MPYA BOFYA LINKI HII: