VIDEO: Tazama video mpya ya Diamond Platnumz Zari nae yupo

Msanii Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Iyena’, katika video hiyo anaonekana mzazi mwenzie, Zari The Boss Lady ambaye alitangaza kuvunjika kwa mahusiano yao. Itazame hapa.MaoniMaoni Yako