Thursday, June 7, 2018

TANZIA: Msanii wa bongo fleva sam wa ukweli afariki dunia

 #BREAKING Msanii wa Bongofleva SAM WA UKWELI alietamba na ‘hata kwetu wapo’ amefariki usiku huu kutokana na kuugua kwa muda mrefu, mwili wake tayari umepelekwa Hospitali ya Mwananyamala, taarifa zaidi kukujia. R.I.P Sam 🙏🏿

No comments:
Write comments

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Facebook