Singida United watua Nusu fainali ya Sportpesa Super Cup


Singida. Timu ya Singida United wametinga nusu fainali ya Sportpesa SuperCup baada ya kuifunga AFC Leopards penalti kwa 4-2 katika mchezo uliomalizika dakika 90 kwa sare ya 0-0 na kuwalazimu kupigiana matuta.
Ushindi huo unawakutanisha Singida United na Mabingwa watetezi wa Kombe hili Gor Mahia, huku Simba SC wakikutana na  Kakamega Homeboyz FC.
Mashabiki waliofurika kwenye Uwanja wa Nakuru nchini Kenya  kufuatilia mechi hiyo