Sunday, June 10, 2018

Mzee akilimali awashangaa yanga na manji

 


mzee Yahya Akilimali aushangaa mkutano mkuu wa Yanga kuigomea barua ya kujiuzulu ya Yusufu Manji nafasi ya uenyeketi wa klabu .

“ haiwezekani mtu kakaa pembeni mwaka mzima leo mnamfanyia maamuzi hayo. Ameshindwa hata kuja mbele ya mkutano kuwaomba radhi?!......”

Nini maoni na mtazamo wako juu ya mzee huyu ?! weka comment kwenye page yetu ya facebook
@samuel samuel

No comments:
Write comments

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Facebook