Kichuya aongeza miaka miwili Simba

Taarifa za hivi punde zinadai winga wa simba shiza ramadhani kichuya aongeza mkataba katika klabu yake ya simba
Na kichuya ameongeza mkataba kwa kutia saini ya miaka miwili kubaki na klabu yake hiyo iliyotwaa ubingwa wa ligi kuu bara kwa msimu wa 2017/2018
Kwa sasa simba ipo kenya ikijiandaa na michuano ya sport pesa super cup ambapo mshindi ataenda pale england kukipiga na everton
Mashindano hayo yataanza kesho huku yanga wakiyafungua rasmi kwa kukipiga na Kakamega FC ya kenya muda saa 7:00 mchana