Zari , Mwanaume Haachwi , Ulicheza Faulo Kumwacha Diamond Kirahisi Rahisi


Tatizo wadada wa mjini mnapenda kuoelewa/ kudate mastaa Ila hamtaki kulipa gharama, ku date na staa sio mchezo, mamillion ya watu wanatamani kulala na mastaa, mastaa huwa wanasumbuliwa kila kukicha, ebu fikiria mtu kama Rihanna, unadhani hakuna mtu wa kumuoa? , tatizo watu wanajua ni stress kumdate rihanna , mtu kila siku anazunguka duniani kufanya shoo, unajua anakutana na watu wangapi? , Hana muda na mpenzi wala familia, uko tayar kuvumilia ku date mtu kama huyo , uko tayar ku cope? , mastaa hawana muda wa kutosha wa ku enjoy na familia zao.

Sasa Dada yetu zari wakati unakutana na diamond ulimkuta akiwa staa tayar , alikua na msululu kibao wa wanawake aliodate nao au kulala nao , ulijua fika kuwa mtu wako anawindwa na wadada wa mujini, Ila wewe ukabahatika, na mkazaa , tena mtoto wa watu alikua anakuheshimu na kukupost instagram juu, Diamond ni malaya hilo liko Wazi, Ila kwa kuwa iliamua kumzalia tena watoto wawili, we ni bora tu ungemvumilia upuuzi wake mkalea watoto vizuri , maana tunajua kama usingetangaza kuachana na diamond sidhan kama yeye angekuacha, hyo jeuri Hana , Diamond anakupenda Ila kuna watu tu wanamchezea tu akili kuharibu familia yako, sasa na wewe ulivyokua na moyo mwepesi na kujifanya bosslady ukaamua kumuacha, wenzio wakambeba maana walikua wanammendea toka alivyokua kwako, Ila tunajua tu soon atarudi kwako kwa magoti maana now sio akili zake, Ila ulicheza faulo kumuacha baba watoto wakoCredit: Jamii Forums
MaoniMaoni Yako