Yanga Kumalizia Hasira Kimataifa Yatangaza Kihama

Klabu ya Mabingwa Watetezi Ligii Kuu Tanzania Bara na wawakilishi pekee nchini Tanzania katika mashindano ya kimataifa Yanga, wanatarajia 'kukwea pipa' kesho Mei 3, 2018 kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho dhidi ya wenyeji U.S.M Alge....Soma Zaidi
MaoniMaoni Yako