Yaliyomkuta alikiba yampata H.baba


Sasa H. Baba amesema tatizo hilo lilimtokea yeye pia pale alipoachia wimbo wake ‘Tamala’ lakini hakujali kwani anajishughulisha na mambo mengi ya kumuingizia kipato.

“Mimi juzi nimeachia ile ngoma ya Bongo Flava ambayo nimeirudia views zilikatwa hamna kupanda wala nini, hata ndugu zangu wakiingia hakuna kupanda lakini mimi sina time hata Instagram yangu si huwa wanachukua, si ishi kwa sababu hiyo mimi napambana,” H. Baba ameiambia Bongo5.

Katika hatua nyingine H. Baba amesema kuwa kumekuwa na tabia ya wasanii kusubiri hadi pale anaposikia mwenzake anatoa ndipo naye anatoa kitu ambacho ameeleza si kizuri.

Source; Bongo 5

MaoniMaoni Yako