Yajue Magonjwa yanayowezwa Kusababishwa na Unene


Tafiti zinaonesha ya kwamba watu wenye uzito kupiliza wana uwezakano wa kushambuliwa na magonjwa kwa kiwango kikubwa zaidi ukilinganisha na watu wembawemba.

Magonjwa hatari tunayoweza kupata kutokana na kuwa na uzito mkubwa ni kama yafuatayo:


  •     Magonjwa ya moyo.
  •     Shinikizo kubwa la damu.
  •     Kiharusi.
  •     Aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari.
  •     Baadhi ya aina za saratani.
  •     Ugumba.
  •     Msongo wa mawazo.
  •     Ugonjwa wa mifupa na
  •     Maumivu ya mgongo.
MaoniMaoni Yako