Wolper amvalisha Wema Sepetu

Katika hali isiyotegemewa na wengi especially kwa mastaa mafahari wawili, namzungumzia wema sepetu pamoja na jackline wolper ambapo wawili hao walikua hawaivi chungu kimoja , Ila sasa hivi unaambiwa ubest wao umerudi kwa kasi ya 4G ambapo imefikia stage ya wasanii hao kusapotiana kwenye kazi zao

Wolper ambaye anamiliki kampuni ya Home of stylish, kampuni inayojihusisha na uanamitindo na ushonaji wa mavazi mbali mbali, hivi sasa amepiga hatua kwa kufanikiwa kumvalisha msanii nyota wema sepetu , ambapo inaonekana wema kuvaa nguo za wolper itakua kiki wa kampuni ya wolper na kusababisha watu kibao kujazana kwa mrembo huyo

Kwa mujibu wa warumi , nahisi pia hii ni moja ya project ya kuua soko la hamisa mobeto ambaye hivi karibuni na yeye amefungua duka lake la nguo ambapo pia anashona na kuuza nguo za kike, huenda mastaa hao wameamua kujiunga kuua soko la hamisa( hayo mawazo ya warumi) , nini maoni yako? 
Credit: Udaku
MaoniMaoni Yako