VideoMPYA: Davido anatualika kutazama wimbo aliotoa zawadi kwa Mchumba wake


Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido amemzawadia mpenzi wake Chioma gari aina ya Porshe yenye thamani ya zaidi ya Milioni 200 za Kitanzania katika siku yake ya kuzaliwa.
Davido hajaishia hapo ameachia wimbo mpya unaoitwa “Assurance” kama zawadi kwa mpenzi wake huyo.
Sasa Davido anatualika kuitazama video hiyo aliyoiachia leo May 01, 2018.
BY RICHARD@SPOTI.CO.TZ
MaoniMaoni Yako