Wednesday, May 23, 2018

VIDEO: JET LI akanusha taarifa zilizosambaa kuwa ana hali mbaya

Tags


Meneja wa gwiji la filamu Jet Li amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuonyesha picha ya nyota huyo akiwa mgonjwa (kulia). Ameeleza kuwa Jet Li ana matatizo ya uti wa mgongo lakini si ya kutishia maisha, na kwamba picha hiyo ilipigwa katika mwanga na pande isiyo sawa.

Super star wa filamu za Tai Chi, A Bodyguard from Beijing, Hero, Expendables, The Master, Danny The Doggy, Fist of Legend, Romeo Must Die, Once Upon A Time In China na nyinginezo,... JET LI... Amekua akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo na uti wa mgongo kwa muda mrefu kiasi kwamba anaonekana akiwa anazeeka kwa haraka sana ila yeye kakanusha
Source: Swahili Times
TAZAMA VIDEO YA BAADHI YA PICHA ZA JET LI HAPA CHINI KWENYE LINK YAVIDEO PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE 👇👇

👆👆
Bonyeza link iyo juu kumuona JET LI wa sasa.