VIDEO Exclusive: Wema Abariki Ndoa Ya Diamond Na Mobeto


MALKIA wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema kuwa mpaka sasa hana tatizo kabisa na aliyekuwa mpenzi wake, Staa wa Bongo Fleva, Diamond Pltinumz endapo ataoana na mzazi mwenzake, mwanamitindo Hamisa Mobetto, ambaye amekua akionekana kama mpinzani wake kwa Diamond.


Credit: Global Publishers
MaoniMaoni Yako