VIDEO: Dr shika baada ya kupokea mabilioni yake

Dr. Louis Shika Kid amepokea sehemu kidogo ya mpunga wake $60m kama shilingi bilioni 130 na zaidi za madafu. Dr. Shika amesikika akisema ''Tutaelewana''. Sasa amehama makazi na sasa anaishi makazi bora kabisa ambayo ni ghorofa ambalo kwa ndani linaonesha si haba.

VIDEO:


MaoniMaoni Yako