Serikali yaipa ruhusa Simba SC


Serikari imetoa baraka hizo kupitia kwa Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati akitoa neno juu ya mabadiliko hayo ambapo amesema Simba imefuata taratibu na kanuni zilizowekwa na serikali hivyo kila kitu kinfanyika kwa mujibu wa sheria.
''Mabadiliko yanayofanywa na klabu hiii ni mazuri na yataleta maendeleo kwenye soka la Tanzania, hivyo hayana budi kuungwa mkono ili yakamilike kwa wakati na sisi kama serikali tutahakikisha yanafanikiwa kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu hus....... Soma Zaidi
MaoniMaoni Yako