Ngoma ya Chege na Diamond yatua LiverpoolNgoma ya Chege aliyomshiriksha Diamond Platnumz ‘Waache Waoane’ bado ipo kwenye headlines zake za kiburudani.

Hii ni baada ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren ku-share video mtandaoni akisikiliza na kucheza wimbo huo.
Video Player
00:00
00:14
Dejan Lovren

by richard@spoti.co.tz
MaoniMaoni Yako