Muda wowote ngasa yuleee Yanga SC

Kuna uwezekano mkubwa wa mchezaji wa Ndanda ya Mtwara na mchezaji wa zamani wa Yanga Mrisho Ngasa kurejea Yanga,tetesi za chinichini ni kwamba baadhi ya viongozi wa Yanga wanataka Ngasa arejee Yanga kutokana kuwa na mapenzi makubwa na Yanga pia kiwngo chake kuweza kuimarika tokea ajiunge na Ndanda
MaoniMaoni Yako