Muda wowote benchi yanga kubadilika Nsajigwa out

Yanga iko mbioni kufanya mabadiriko katika benchi lake la ufundi kwa baadhi ya makocha kuondoshwa na kuongezwa wengine.

Baadhi ya makocha ambao wanaondoshwa ni pamoja na Kocha Nsajigwa na kocha wa makipa juma pondamali kocha wa makipa,

Huku wakibaki Mwinyi zahera na Mwandila na akiongezeka Meck mexime ambaye ni kocha wa Kagera Sugar na nafasi ya Pondamali kuchukuliwa na Razack Siwa raia wa Kenya.

CREDIT: the choice

MaoniMaoni Yako