Madrid yawapongeza BarcaUongozi wa klabu ya Real Madrid umeipongeza FC. Barcelona kwa kutwaa ubingwa wa ligi kwa msimu wa 2017/18 na Kombe la Mfalme 'Copa del Rey'.

Madrid wameipongeza Barcelona kupitia ukurasa wao wa Twitter likiwa ni taji lao la 25 kwenye ligi.

Barcelona imetwaa ubingwa huo mara saba ndani ya miaka muongo mmoja na kutengeneza rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufanyika.

Hizi ndizo pongezi za Madrid kwa Barcelona zilizoandikwa kupitia akaunti yao ya Twitter.

Source: Saleh Jembe
Na: Agape Patrick
Email: agape@spoti.co.tz

MaoniMaoni Yako