Madhara makubwa ya punyeto

Kujichua kuna madhara makubwa hata kama unaona kunakupa raha. Kujichua kunaweza kukufanya ukawa mtumwa wa tendo hili na ukifikia hatua hii basi ni dhahiri kuwa kumeshaathiri afya yako ya akili kwa kiasi kikubwa.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wanasansi wa masuala ya ngono wa nchini Marekani akiwemo Dr. Michael Reece, (PhD, MPH) umebainisha kwamba iwapo utakuwa unapenda kujichua hautaona kama unapata ladha yo..... Soma Zaidi
MaoniMaoni Yako