LULU DIVA : ‘Rich Mavoko Hawezi Kuwa Mpenzi Wangu’


BAADA ya tetesi kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, kwamba mwanamuziki Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, anatoka kimapenzi na mwanamuziki mwenzake, Richard Martin ‘Rich Mavoko’, Lulu amevunja nazi na kuweka mambo hadharani... Soma Zaidi
MaoniMaoni Yako